TANZIA: Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi afariki



Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika Serikali ya Awamu ya Nne, Balozi Jaka Mwambi amefariki leo Desemba 8, 2019

Pia, marehemu aliwahi kuwa Mkuu wa Mikoa ya Tanga, Rukwa na Iringa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad