Tazama LIVE: Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza Maelfu ya Watanzania kusherekea Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika historia Tanzania Bara wakati huo ikiitwa Tanganyika ilipata Uhuru wake Disemba 09, 1961.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad