TUNDU Lissu "Madaktari Wangu Wanasema Nimepona, Nipo Tayari Kurudi Nyumbani"
0
December 19, 2019
"Madaktari wangu wanasema nimepona, nipo tayari kurudi nyumbani, nipo tayari kuja kuungana na Makamanda wote na Watanzania ili tujenge Nchi mpya, naombeni mshirikiane niweze kurudi nyumbani haraka iwezekanavyo katika mazingira yatakayokuwa salama" - Tundu Lissu
Tags