Afungwa MAISHA na Viboko 50 Kwa Kuwalawiti Watoto Wadogo 12 Katika Kituo cha Kuchezesha Game

Mahakama ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha jela na kuchapwa viboko hamsini asubuhi na jioni Anorld Mlay ( pichani ) kwa kosa la ulawiti, Mlay anasadikiwa kuwalawiti watoto 12 katika kituo chake cha kuchezesha game.

Mlay alikuwa mwalimu ambaye alimaliza chuo kikuu cha Iringa mwaka 2016 na pia alikuwa akimiliki kituo cha kuchezesha game sehemu ambayo pia ndipo alipofanyia uhalifu huo

Kwa habari zaidi za ukweli na uhakika endelea kufuatilia page hii ya habari zote media share zaidi
Ahsante
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad