Uganga wa MAPENZI..Kumbe Nyama ya Mjusi Ndio Huchanganywa na Chakula na Kupewa Mwanaume


JE UNAYAFAHAMU MAMBO HAYA?


Haya madudu wanayofanyiwa baadhi ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu ya mapenzi na ambayo ikitumiwa vibaya inaweza kumfanya mwanaume kuwa chizi wa akili na pengine kupoteza maisha au kazi yake kabisa.

Ukiacha makabila yaliyozoeleka kwa mambo haya ya wanawake kutumia mbinu hizo za asili kuwavuta wanamume katika mapenzi(!) kama vile waTanga, Wahaya, Wanyakyusa, Wapemba, na makabila ya Pwani, inasemekana yapo makabila mengine, ambayo wanawake wanatumia teknolojia kali zaidi na yenye kutia kichefuchefu kama ukijua kuwavuruga wanaume.

Inadaiwa taaluma hiyo ya asili ambayo kwa sasa imeanza kupotea kutokana na wadada na akina mama wengi kuanza kumjua Mungu inaambatana na matumizi mabaya ya baadhi ya viumbe hai ambavyo huwezi kuvidhania vinaweza kulegeza ujanja na nguvu za mwanaume. Inasadikika kuwa wataalamu wa kutengeneza madudu haya ni wanaume wenyewe (waganga wengi wa kienyeji ni wanaume).

Viumbe hivyo ni pamoja na yule mjusi mweupe na laini anaypenda kuishi katika nyumba zetu (mjusi kafiri) wa jamii hii:

Ukichaganyiwa kwenye menyu (chakula maalumu), hapo utakuwa huchungulii hata barazani, wewe unakuwa ni mtu wa chumbani taulo tu, kila kitu huko huko. Hata kazini hutaki tena.


Pia kuna mijusi wale wanaokaa kwenye mawe au miamba ya mtoni au ziwani:

Ukifanyiwa na mjusi wa aina hizi, inadaiwa kuwa maisha yako ni mdura, ukitoka ndani waenda kazini au kanisani au msikitini, ukirejea tu ni ndani kwenye TV au chumbani na pengine kama ni mtu wa kinywaji wewe kinyawji chako ni cha kuagizia na kuwekewa kwenye jokofu, (friji) mtaani na viwanja unaona nuksi na mama una:

yako mengi tu hii mfano wake tu toa maoni yako.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nifundishe namna ya kuchanganya

    ReplyDelete
  2. Hata mimi nifundishe maana mume wangu kitombi sana nimkomeshe.

    ReplyDelete
  3. kwi kwi kwi mnenichekesha!kila mtu anataka kufundishwa!sijui uganga wala madawa mie na sitaki kuthubutu yann kumkamata mtu akili yake??mwache awe kiumbe huru jaman..ukitombi muombee hakuna kinachomshinda muumba kuwa tu na imani mamy.

    ReplyDelete
  4. Hii nzuri sana. kwa wanaume vitombi na wasipenda kujituliza nyumbani na kujali familia zao.hii dawa ndio inawafaa

    ReplyDelete
  5. hakuna kitu uwongo mtupu

    ReplyDelete
  6. Chukua mjusi wa ziwani muue kisha mchune ngozi yake,kichwa kitupe na matumbo.tumbukiza mjusi kwa blenda tia maji kidogo blend hadi awe rojo kama huna blenda chukua kinu twanga,chukua rojo lako changanya na unga wa chapati kanda chapati zako....nitawamalizia baadae ni mi binti wa mombasa asipo tii amri huyo atakuwa shetani wa mguu mmoja,wangu mpaka leo kiganjani namcontrol kama remote.

    ReplyDelete
  7. Ukimaliza kumsaga kwenye brenda we mavi kidogo na kasukari na kapilipili mbuzi mpe anywe kama juice na

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unamkosea Mungu, maana ni dhambi. Mshahara wa dhambi ni mauti

      Delete
  8. ukitaka kukonda kama ukimwi na tatizo alionekani changanya uo uongo mume umkose maana mjusi sumu kari na inauwa taratibu

    ReplyDelete
  9. Muoe wenye hofu ya Mungu. Na wenyewe mkiwa na hofu ya Mungu ndio inakuwa salama na furaha ya ndoa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad