Shindano hili kilofanyika Nchini Ufilipino katika jiji La Madila likishirikisha jumla ya warembo 90 kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni
Zozibini alifanikiwa kuingia tatu bora na kuwashinda wenzake wawili kutoka Puerto Rico Madison Anderson (Amekuwa mshindi wa pili) na SofÃa Aragón kutoka Mexico ambaye amekuwa mshindi wa tatu
Zozibini amechukua mikoba ya taji hilo kutoka kwa raia wa Ufilipino, Catriona Gray ambaye alilitwaa mwaka 2018.
Zozibini anakuwa raia wa tatu wa Afrika Kusini kutwaa taji hilo baada ya Margaret Gardiner mwaka 1978, and Demi-Leigh Nel-Peters mwaka 2017.
Tanzania iliwakirishwa na mrembo Shubila Stanton ambaye hakufanikiwa kufika kwenye kumi bora ya mashindano hayo