Utafiti: Kati ya Wanaume Kumi, Saba Wana Michepuko
2Udaku SpecialDecember 11, 2019
Jamani. Kama utafiti huu wa gazeti la Mwananchi ni kweli basi tatizo la Michepuko limegeuka janga la kitaifa. Ni nini kinasababisha hali hii? Mlioko kwenye ndoa, kuna nini huko jamani mpaka mchepuke kiasi hiki?
Utafiti wako ni kenge umeelemea upande mmoja mchepuko unafanyika baada ya watu wawili(mwanamke+mwanaume)kukubaliana na kuridhiana ndiyo kusema pande hizo zote mbili zinahusika kwani pande moja(mwanamke)akikataa kutakuwa hakuna mchepuko au uliishiwa na mada ukaona uandike hili kujaza nafasi nini imekula kwao can't buy this bullshit stinkin'scrap of yours if you whatta mean
Wewe uliye jibu maoni unaonekana ni mwanamke utaki kuambiwa ukweli. Kama ukubaliani na maoni haya mbona,mimi ninatembea na mmeo kila siku ukienda kazini.
Utafiti wako ni kenge umeelemea upande mmoja mchepuko unafanyika baada ya watu wawili(mwanamke+mwanaume)kukubaliana na kuridhiana ndiyo kusema pande hizo zote mbili zinahusika kwani pande moja(mwanamke)akikataa kutakuwa hakuna mchepuko au uliishiwa na mada ukaona uandike hili kujaza nafasi nini imekula kwao can't buy this bullshit stinkin'scrap of yours if you whatta mean
ReplyDeleteWewe uliye jibu maoni unaonekana ni mwanamke utaki kuambiwa ukweli. Kama ukubaliani na maoni haya mbona,mimi ninatembea na mmeo kila siku ukienda kazini.
ReplyDelete