Utafiti: Kati ya Wanaume Kumi, Saba Wana Michepuko

Jamani. Kama utafiti huu wa gazeti la Mwananchi ni kweli basi tatizo la Michepuko limegeuka janga la kitaifa. Ni nini kinasababisha hali hii? Mlioko kwenye ndoa, kuna nini huko jamani mpaka mchepuke kiasi hiki?

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utafiti wako ni kenge umeelemea upande mmoja mchepuko unafanyika baada ya watu wawili(mwanamke+mwanaume)kukubaliana na kuridhiana ndiyo kusema pande hizo zote mbili zinahusika kwani pande moja(mwanamke)akikataa kutakuwa hakuna mchepuko au uliishiwa na mada ukaona uandike hili kujaza nafasi nini imekula kwao can't buy this bullshit stinkin'scrap of yours if you whatta mean

    ReplyDelete
  2. Wewe uliye jibu maoni unaonekana ni mwanamke utaki kuambiwa ukweli. Kama ukubaliani na maoni haya mbona,mimi ninatembea na mmeo kila siku ukienda kazini.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad