VIDEO: Aliyemuua Mkewe kwa Shoka Akamatwa Kininja ''Alikua Mafichoni''



Jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi wakiongozwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa Mauaji kumuua kwa shoka Marry Richard Mushi

Akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Mtuhumiwa Moses latiaeli Pallangyo , kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Jonathan Shana amesema Jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi pamoja na mkuu wa wilaya ya Arumeru waliweka mtego ambao kwa takribani siku tatu ulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa katika eneo la ngaramtoni tarafa ya mukulat wilaya ya Arumeru akiwa katika harakati za kukimbilia nchi jirani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad