VIDEO: Baada ya TETESI za Kutekwa PROF Assad Asimulia Kilichotokea


Baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof Mussa Assad ametekwa Azam News imezungumza na Prof Assad na ameeleza kilichotokea!


CAG Mstaafu Tanzania, Prof. Mussa Assad amesema taarifa zinazodai kuwa ametekwa si za kweli na kwamba yupo salama nyumbani kwake amesema hana ugomvi na mtu au taasisi yoyote nchini watu waache kutumia majina ya wenzao kwa lengo la kujipatia umaarufu wa kisiasa" alisema

TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad