VIDEO: Daktari, Kamanda wa Polisi wafunguka kuhusu watoto waliofariki kwa kula mihogo yenye sumu
0Udaku SpecialDecember 21, 2019
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara Dr.Yesige Mutajwaa amesema kifo cha watoto hao kimesababiswa na Mihogo iliyokuwa na sumu aina ya Cynide.
Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara (SACP) Paul Kasabago amethibitisha kutokea hilo ambapo amewataja watoto waliofariki ni Bashiru Hamady ( 6 ) na Mwanahamis Hamady (4 ).