Wanaume Kwa Hili Mnatutesa Mnatuvurugia Wengi

Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi tumestukia hilo, na tunapinga vikali no video calls, no sex pictures at all.

Kama hutaki sauti pita hivii!Kingine msitupangie matumizi ya simu zetu, hujainunua wewe sa kiherehere cha nini, kila saa umenuna"bby simu ipo busy kila saa" haikuhusu!Nunua yako nipe kisha nipangie wakuchati nao.

Picha za uchi BIG NO, USINITUMIE WALA SIKU TUMII. TUKIPANGA MIADI YA KUKUTANA NITAANDAA SEHEMU MIMI NA SIO WEWE, POTELEA MBALI KULIKO UKAFUNGE MI KAMERA ILI UNIREKODI.

KINYWAJI NI JUICE TU, POMBE SITAKII

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu siki hizi wamebuni njia nyingine za kujiliwaza ili kuondoa usumbufu na magonjwa yasiyokuwa na ulazima. Tatizo ni kuwa nyie akina dada wa siku hizi umalaya umewazidi.Magonjwa kila kukicha mara Ukimwi sijui Kaswende mara Kisonono. Sasa mtu anaona ni kwa nini usinitumie picha yako niokajiliwaza na wewe ubakie na Maugonjwa yako. Kwani kukutana ni lazima, sio lazima. Halafu mambo ya picha yanaleta uhakika wa kitu unachoulizia. Ni kama bidhaa sokoni, kama hujaridhika unaishia na kupotezea lakini. Hivi hivi watu wengi wameishia kuuziwa mbuzi ndani ya gunia. Mtu unaingia gharama ya kumpeleka mtu outing mara kwenye Restaurant mara sijui kwenye Movie halafu ukifika kwenye kitu chenyewe hamna kitu ni uvundo mtupu, na wakati ushaingia gharama. Kama huwezi kunitumia picha ya hiyo punyi yako poa vile vile tupotezeane. Kwani kwa wale wanaojijali na kujiamini wako wengi tu.

    ReplyDelete
  2. Mambo ya kuuza sura pekeeee yamepitwa na wakati. Kwa sasa hivi ni lazima unionyeshe kitu kilivyo ili nijihakikishie.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad