Watu 10 Wapoteza Maisha Kwenye Shambulio la Ugaidi Kenya


Takriban watu 10 wamefariki katika kaunti ya Wajir siku ya Ijumaa baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi Al-Shabaab kushambulia basi walilokuwa wakisafiria wananchi hao

Walioshuhudia wamesema wapiganaji kadhaa waliokuwa wamejihami walishambulia basi hilo lililokuwa likielekea Mandera na kuwalenga watu wasiotoka katika eneo hilo baada ya kuwatenga kutoka kwa abiria wengine

Kati ya waliofariki wapo Askari Polisi 7

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad