Watu Waanza Kuchawia na KUBET Kuhusu Wema Sepetu Kuolewa na Rubani...Idriss Sultan Amuonya Danzak

Kweli Penzi ni kikohozi uwezi kulificha, Mrembo Wema Sepetu baaada ya kutendwa sana katika mapenzi ilifika mahali akasema kamwe hata weka penzi lake wazi...lakini tunaona kwa sasa kazama kwenye penzi la Rubani na sio siri tena kwani Wema Sepetu kaanza kutuonesha mapicha picha wakiwa nae na inasemekana wataoana hivi karibu kwamba...lakini sasa wadau wamegoma wadai hapo hakuna ndoa kamwe...wengine mpaka wamefikia kubet....Angalia Wadau Wakufunguka:

anitawmoshi

Wachawi ndio nyie wasanii wenyewe ndio maaana ndoa kwenu imekuwa ngonjeraaa nyau nyie


evelinachalata's profile picture

evelinachalata

Kabla hujaandika comment unatakiwa kufikiria,Muombe Mungu akusaidie unawatt wakike afu unakaa kumuombea mtt wamwenzako mabaya jmn khaaaaa


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad