Yanga yamalizana na mshambuliaji wa Ivory Coast, Ruksa kuivaa Simba


Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Yikpe Gislain Gnamien kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru.

“Tayari ameshapewa kibali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na yupo kwenye hesabu za kuivaa Simba, Januari 4,2020,” ilieleza taarifa hiyo kutoka ndani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad