Yanga yamsimamisha kazi Dismas Ten



Uongozi wa Yanga umetangaza kumsimamisha kazi, Kaimu Meneja wa timu hiyo Dismas Ten kwa ajili ya uchunguzi kwa kile walichoeleza kuwa amekiuka mkataba kwa kuwavalisha benchi la ufundi mavazi na wachezaji yasiyo na nembo ya GSM mpaka uchunguzi utakapokamilika kwenye mchezo wa Jana, Desemba 30 dhidi ya Biashara United.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad