Akina Dada Mnaojiona Wazuri Hii Inawahusu Moja Kwa Moja

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana futuretabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho,leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii,tunaumia sema
hatusemi tu,machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanawake warembo huishia kuwa michepuko sababu ni moja tu ni uvivu wa akili kufikiria Nazi za kufanya ili spate pesa halali yeye anajirahisisha na kujiuza ili spate pesa kirahisi tu bila kuumiza kichwa hii ndiyo inayowafanya waishie kuwa michepuko.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad