Angelique Kidjo Kutoka Benin Ashinda TUZO ya Grammy, Ushindi Wake Aulekeza Kwa Burna Boy Baada ya Kuikosa Tuzo Hiyo – Video


Msanii mkongwe muigizaji na mwandishi mzuri kutoka nchini Benin Angelique Kidjo mwenye umri wa miaka (59) ameibuka mshindi wa Tuzo ya #Grammys kwenye kipengele cha “Best World Music Album” na kumpiga chini Burna Boy ambaye pia alikuwa anawaona kipengele hicho.



Mbali na kushinda tuzo hiyo Angelique Kidjo ameu-dedicate Ushindi wake kwa msanii kutoka nchini Nigeria Burna Boy.

Kwenye hotuba yake ya ushindi alisikika akifunguka kwa kusema kuwa “Hii Tuzo ni Ya Burna Boy, Ni mmoja ya wasanii wadogo ambao wanabadilisha mtazamo wa dunia kuhusiana na Afrika”
.
Ikumbukwe kuwa mwanamama huyo Angelique Kidjo ni mshindi wa mara ya 4 kushinda Tuzo hiyokubwa kabisa duniani, Aliwahi kushinda tuzo hiyo Mwaka 2008, 2015,2016 na Mwaka huu 2020.

View this post on Instagram

Angelique Kidjo kutoka Benin shinda tuzo ya Grammy, Ushindi wake aulekeza kwa Burna boy baada ya kuikosa tuzo hiyo Msanii mkongwe, muigizaji na mwandishi kutoka nchini Benin Angelique Kidjo mwenye umri wa miaka (59) ameibuka mshindi wa Tuzo ya Grammy kwenye kipengele cha “Best World Music Album” na kumpiga chini Burna Boy ambaye pia alikuwa anawania kipengele hicho. Mbali na kushinda tuzo hiyo Angelique Kidjo ameu-dedicate Ushindi wake kwa msanii huyo kutoka nchini Nigeria Burna Boy. Kwenye hotuba yake ya ushindi alisikika akifunguka kwa kusema kuwa “Hii Tuzo ni Ya Burna Boy, Ni mmoja ya wasanii wadogo ambao wanabadilisha mtazamo wa dunia kuhusiana na Afrika” . Ikumbukwe kuwa mwanamama huyo Angelique Kidjo ni mshindi wa mara 4 Tuzo hiyo kubwa kabisa duniani, Aliwahi kushinda tuzo hiyo Mwaka 2008, 2015,2016 na Mwaka huu 2020 Written and edited by @el_mandle
A post shared by bongo5.com (@bongofive) on
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad