Aston Villa yawashukuru Watanzania


Klabu ya soka ya Aston Villa ambaye imemsajili mtanzania Mbwana Ally Samatta hivi karibu baada ya mchezo wa jana imewashukuru Watanzania kwa sapoti kubwa waliyoionyesha katika kumshangilia mtanzania mwenzao pamoja na timu nzima kwa ujumla.

Katika mchezo huo Aston Villa iliibuka na ushindi wa bao 2-1 na kufanikiwa kutinga fainali ya Carabao Cup.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad