Bashiru Ally "Wapo Wanaolilia TUME Huru Iwasaidie Kupata Ushindi..Tume Huru Haipigi Kura"
0
January 04, 2020
"Wapo wanaolilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, tume huru haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, chama kisicho na wapigakura kisitegemee tume iwape ushindi, CCM imetafuta wapigakura kwa kutoa elimu bure, afya, maji na barabara, sasa wao waseme wapiga kura wamewapataje" Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally
Tags