Bilionea Jeff Bezos Apata Tsh. Tril 30 Ndani ya Dakika 15




JEFF Bezos, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Amazon amekuwa tajiri mkubwa Duniani baada ya kumpita Bill Gates.


Jeff Bezos amepata utajiri zaidi, kwa dakika chache jana tarehe 30 Januari 2020 baada ya hisa za Kampuni ya Amazon kupanda na kufikia $2100 sawa na Tsh. 4,840,000 kwa kila hisa.

Kupanda kwa hisa kumefanya Bezos apate zaidi ya bilioni $13 zaidi ya Tsh. trilioni 29.9. Kwa sasa jumla ya utajiri wake ni takriban bilion $129.5 sawa na Tsh. trilioni 298.6 kwa mujibu wa Bloomberg Billionaires Index.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad