Binti wa Advaced Level Ananikosesha RAHA Ndani ya Ndoa Yangu


Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadharika tulipeana hadi namba za simu.

Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi."Shikamoo, Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani." Bahati mbaya hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na wife na zaidi niliifuta baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha msg yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu.Na mimi kama mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee.Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi na jumapili maana hizo siku anakuwa free.

Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu

Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa Continuously.

Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi

Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi.

Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi

Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha.

Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.

Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)
Tags

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umezoea vya kunyonga vyakuchinja huviwezi unaye atakuganda

    ReplyDelete
    Replies
    1. uyo kijana anafanya vizuri xana na ningekuwa nakufaamu ningekutia sero na kukufunga miaka 20

      Delete
    2. faida ya dhambi mwanzo mbona hukutuomba ushauri yamekufika shingoni unasema ufanyeje kanywe sumu upunguze shida shwain wewe

      Delete
  2. Hahahaha acha uwoga hapo hakuna wa kujiuwa wala ndoa kuvunjia kata mawasiliano taratibu kama sio ww vire maswala ya kujibabysha Mara cm Mara sms kilamuda ya ache uone

    ReplyDelete
  3. utaja.......za mwenyewe!

    ReplyDelete
  4. Bao la kete halina kocha sasa maliza mwenyewe mkuu

    ReplyDelete
  5. Dah!baki njia kuu,umeona tatizo hilo,mi naona ui block no yake!

    ReplyDelete
  6. Nyau wewe,huo upuuzi kamshirikishe mama yako.

    ReplyDelete
  7. Utavuna ulichopnda..mpuuzi we!

    ReplyDelete
  8. Utavuna ulichopnda, , mpuuzi we!

    ReplyDelete
  9. Utavuna ulichopnda, , mpuuzi we!

    ReplyDelete
  10. Utavuna ulichopnda, , mpuuzi we!

    ReplyDelete
  11. NDIO UKOME MAMAYOOOOOOOOOO WEWE.
    UCCHO TULIA NA MKEO NNI KWENDA KUTAKA PUNYE YA MTOTO NA INNAVYO ONEKANA HATA CONDOM HUKUVAA FALA WEWE. SASA NDIO UKOMAE NAE NA UNATAKA KUMCHAPA MAKOC YA NINI WAKATI WEWE MWENYEWE UMEMPA VYA KIUTU UZIMA. NATAMANI NIIKATE IYO DUDU YAKO NIMPE DOG AILE YOTE

    ReplyDelete
  12. Pepo ilo,mkome na nyie wanaume,i bet huyo mtoto hata kuosha uchi hajui,ni kweli ushamuharibu kisaikolojia,lako ilo

    ReplyDelete
  13. Ehh majanga acha nipite.

    ReplyDelete
  14. Hiyo imekula kwako

    ReplyDelete
  15. Ukome na michepuko isiyofaa hii ni fundishi kwa wanaume wenye tabia kama yako

    ReplyDelete
  16. Tukusaidie nini? wakati unaimbisha ulituhusisha? sasa maji ya shingo unatuomba msaada yaoge hayo wewe siulijifanya kidume, mmezidi kila sketi mpaka muivue nachefukwa!!!!!

    ReplyDelete
  17. ww na huyo bnt wote mafala,ili kufuta machungu kwa mkeo npe niruke nae iwe ngoma droo,!

    ReplyDelete
  18. Yakushuke utajibeba mwaka huu fala ww ningekuwa mim ndo umenfanyia hvyo ningekufanyia mbaya!

    ReplyDelete
  19. Storry Umetunga...jambo dogo Kama Ni kweli binti qa shule unatembea naye wa nini Na mke unaye ? Je mkeo naye akikutaba Na serengeti boy Ni sawa ?? Jibu unalo

    ReplyDelete
  20. Wewe mpumbavu sana umemchafua mtoto wa wa2 sasa unaomba ushaur gan?

    ReplyDelete
  21. Hata huyo nae ni mke wako si umelala nae, kwani niniZaidi alicho nacho mkeo nyumbani ambacho hata kwa huyo inakipata pia, utajiju, ndio uwatimizie mahitaji yao wote wawili, mshenzi wa tabia wewe, binti achachamae pia

    ReplyDelete
  22. Pumbavu.wacha hilo pepo likung'ang'anie si umeyataka mwenyewe?

    ReplyDelete
  23. Mtu mzima una mke na motto.....!!! Tamaa za nini sasa??? tena kwa vibinti vidogo halafu eti unaomba ushauri..!! Mtu mzima hovyo wewe sasa subiri jela inakuja kwa ajili ya ujinga wako. Pumbavu mkubwa .

    ReplyDelete
  24. Ndio maana mwenyezi mungu amekataza zinaa ww si muaminifu na una tamaa kwanini ulioa?

    ReplyDelete
  25. Mmmmmhhh kazi.

    ReplyDelete
  26. Mmhhh kazi ipo.

    ReplyDelete
  27. Ataposema Ana Mimba yako ndio utajua mtoto anatokea wapi shwaiin wewe umeyaka sasa subiri jela usione kila mwanafunzi ukafikiria uchezee

    ReplyDelete
  28. baki njia kuu michepuko co dili

    ReplyDelete
  29. baki njia kuu.....!
    michepuko co dili

    ReplyDelete
  30. WADAU NILIOMBA USHAURI TU, MBONA MNANITUKANA?

    ReplyDelete
  31. endelea kutomba tu

    ReplyDelete
  32. ADMIN waache watu watiririke huna haja ya kuchuja comments, as hii blog yako inahusiana na udaku na mambo mengine yanayohusiana na udaku ikiwemo matusi, vijembe, na mengineyo. so let it flow!!!

    ReplyDelete
  33. ushauri wauzinzi akupe nani? tena ningewajua kaka zake ningewaambia wakupige miti mbele ya mkeo, kende zako

    ReplyDelete
  34. Sasa chakufanya, mwambie mke wako ukweli, ili msulihishe hilo swala mkeo anaeza akakuelewa na akakusaidia, yeah ki ubinadam umekosea na kama kweli binadam kakamilika utakosea tu, pole lekebisha na wife afu usirudie tena! Try to be royal to ur wife

    ReplyDelete
  35. Hahaha very interesting fellow Married MAN, tatizo wewe hujui kuhit and run, unachonga na mzinga kabisa sasa iweje Nyuki wakijaa na kutengeneza ASALI ushangae? hit proffesionally na angalia usipende ,kumnbuka upendo ni mara moja tuuu, ukithubutu kuwa RUBA unang'ang'ania kama vile hakuna wengine matokea yake ndio hayo,Alafu inaelekea wewe hukuwa na tabia hiyo before ndio maana katoto kamekuchanganya, anyway ndoa ni muhimu zaidi ya hako katoto,hapo sasa ilipofika ni point of no return hako katoto kasanii kanakuzingua hakuna lolote, huko pembeni katakuwa na visharobaroo vinambutua tu kama kama sasa anaglia usije ukaleta UKIMWI ndani kwako, kwanza kabisa punguza mawasiliano nacho so ghafla kasije kakawa kako serious kakajiua, kapotezee taratiibu , punguza mawaziliano alafu punguza na huduma za kipesa, uwe unalalamika pesa ngumu pesa ngumu, katachoka chenyewe

    ReplyDelete
  36. gharama ya dhambi ni mauti acha ufe kwa kutokuwa mwaminifu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad