Breaking NEWS: Ubalozi wa Marekani Nchini Iraq Washambuliwa



Roketi tatu zimedaiwa kushambulia Ubalozi wa Marekani nchini Iraq "zilirushwa Roketi tano na tatu zikatua moja kwa moja Ubalozini”

Roketi moja imeshambulia eneo la kulia chakula kwenye Ubalozi huo na Roketi mbili zimeangukia karibu kabisa na eneo hilo.

“Hali ni tete kwa Watumishi wa Marekani waliopo Iraq, makundi yenye silaha yanayoungwa mkono na Iran yanaendelea kutoa vitisho”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad