Breaking News: Walimu Watatu Wauawa Katika Shambulio la Kigaidi Kenya


Watu watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka wa Kenya na Somalia.

Walimu watatu wamepigwa risasi hadi kufa katika eneo Kamuthe mapema leo asubihi.

Washambuliaji hao pia wameharibu mawasiliano kabla ya kutoroka.

Maafisa wa polisi wanafuatilia wavamizi hao huku ripoti za kiusalama zikionyoesha kwamba wavamizi wameweka vilipuzi chini ya ardhi katika barabara ya eneo hilo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad