Burkina Faso: Watu 36 wauawa katika shambulizi



Watu  36 wauawa katika shambulizi lililoendeshwa na watu waliokuwa na silaha nchini Burkina Faso.

Watu waliokuwa na silaha wamevamia soko na kuwafyatulia risasi watu waliokuwepo  na kuwauawa watu 36 na kuwajeruhi wengine wengi.



ukio hilo limetokea Kaskazini mwa Burkina Faso.
OPEN IN BROWSER

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad