Cardi B Aomba Uraia wa Nigeria Kisa...Nigeria Wamjibu....

Cardi B akaribishwa vizuri Nigeria na mwenyekiti wa tume ya Wa Nigeria waishio nje ya nchi. Kupitia Twitter ameandika milango ipo wazi na anakaribishwa.

Cardi B aliahidi kuchukua Uraia wa nchi hiyo kutokana na sakata la kukosekana kwa amani nchini Marekani mara baada ya kuuawa Qasem Soleiman, kiongozi wa kikosi maalum cha Jeshi la Ulinzi chini Iran.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad