Video: Nugaz Amrarua Shaffih Dauda BILA Woga: ”Wewe ni Nani Tanzania hii”


Afisa mhamasishaji wa timu ya Yanga, Antonio Nugaz amemjia juu bosi wake anayefanya nae kazi katika kituo cha redio cha Clouds Fm na Tv, Shaffih Dauda kuacha kuisema vibaya timu hiyo huku akiwatumia salam wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa January 4, 2020…, Bofya kutazama

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad