Web

DAVIDO Katika Skendo ya Kutembea na EX Wake....Mwenyewe Ajitetea Hivi...

Top Post Ad

Davido amekana kwenda mapumzikoni nchini Ghana akiwa na Ex wake ambaye ni mzazi wa mtoto wake wa kwanza, baada ya kuonekana kwenye ndege. Amesema, "Mtoto wangu na mama yake walikuwa wanakwenda kwa ajili ya biashara ya nywele Ghana, nikaamua kuwapa lift ya ndege kwa kuwa mimi nilikuwa na show ya Afronation huko"

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.