Davido kununua ndege nyingine



Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido amekuja na kasi nyingine ya mwaka 2020 kwa kutangaza ujio wa ndege yake nyingine  binafsi ( Private Jet) ikiwa ni sehemu ya mipango yake anayotaka kuifanikisha katika mwaka huu mpya.

Kupitia mtandao wa Instagram Davido amepost video inayomuonesha akimwaga hela na kuandika ujumbe huu hapa “MOOD ALL 2020 !! E PAIN DEM! THIS YEAR NEW WHIPS CRIBS AND JETS !!! ikiwa ni katika kuukaribisha mwaka mpya 2020

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad