Diva na Ndoto za Mchana " Ali Kiba Akinipa Milion 500 Nipo Tayari Kuolewa Nae"


"Niko tayari kuolewa na Alikiba hata kama ni mke wa pili au hata wa nne, nampenda sana, nitabadilisha hata dini kwa ajili yake ila atoe hizo Mil. 500, hivi ni mwanamke gani asiyetaka kuolewa na Ali?" - Amefunguka Diva Loveness Malinzi
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa uzur gani ulionao au ndo unataka ukampe mkosi kwenye maisha yake! Mtu mwenyewe mkaa uchi nani atoe mil.500 anunue chakula cha wote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad