Dudu Baya Kayakajaga...Basata Yamfungia Kutojihusisha na Sanaa Maishani



Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) nchini Tanzania limemfutia usajili msanii wa Bongofleva Dudubaya kutojihusisha na shughuli zozote za sanaa


Tamko hilo limetolewa leo Jumanne Januari 7, 2020 na Katibu Mtendaji, wa baraza hilo, Godfrey Mngereza baada ya msanii huyo kukiuka wito wao wa kumtaka aende ofisini kwao kwa ajili ya mahojiano.


 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad