Gadner anaweza kuwa ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko Mtangazaji yoyote yule Tanzania – Kusaga



Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amewataka vijana kusimamia ndoto zao huku akidai wakati Clouds inaanza walikuwa wanalipa mshahara wa tsh 20000 lakini kwa sasa kuna watangazaji wanalipwa kuliko mtangazaji yeyote Tanzania.



“Clouds ilianza na mshahara wa Tsh 20,000 tu kwa Mwezi, Lakini Gadner anaweza kuwa ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko Mtangazaji yoyote yule Tanzania cha msingi nachoweza kuwaambia Vijana wa Tanzania ni ku-Focus tu.” alisema Clouds katika The Big Breakfast 2020 ambayo ilifanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam.

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad