Gadner "Natamani BINTI Yangu Awe na Mtu Mzima 'Sugar Dady' Vijana Hamuwezi Kuhudumia Huu Mzigo"
0
January 07, 2020
“Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wangu ‘sugar dad’ ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha halafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa ‘bill’ zake.” - Gardner Habash.
Tags