Gigy Monye Akana Kutoka Kimapenzi na Patrick Kanumba....

Baada ya tetesi kusambaa, Gigy akana kutoka kimapenzi na Patrick Kanumba. Akizungumza na GPL mrembo huyo amesema yeye anajiheshimu hivyo hawezi kutembea na Patrick akidai muigizaji huyo ni sawa na mtoto kwake

Patrick aliyetamba na movies za Uncle JJ na This Is It kwasasa inadaiwa bado ni mwanafunzi huku mashabiki wakiwa na hamu ya kutaka kumuona katika kazi mpya kwa jinsi picha zako mpya kila wakati zinavyosambaa mitandaoni
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad