Hemed PhD "Nilivyotolewa Kwenye Mashindano ya Kuimba nchini KENYA, Wanawake 30 Waliandamana Utupu Kupinga Mimi Kutolewa"


"Huwa Nina utaratibu wa kuachia orodha ya nyimbo zangu bora za kila mwaka, Kuna ya ngoma ya Bongo Moja kwasababu mimi ni mpenzi sana wa muziki wa nchi za nje, Nawasikiliza zaidi wasanii wa nje" - Hemed PhD

"Nna asili ya Ureno japo Kitaulo nakitumia, Ni Lazima utumie kama unataka kung'aa" - Hemed PhD

"Nilivyotolewa kwenye mashindano ya Kuimba nchini Kenya, Kuna mashabiki 30 wa kike waliandamana utupu kupinga Mimi Kutolewa hadi Wadhamini waliomba nirudishwe" - Hemed PhD
.
"Kitu kilichonishangaza zaidi mwaka 2019 ni Marafiki zangu wengi wameoa, Mimi nimepanga kuoa nikifikisha umri wa miaka 45" - Hemed PhD

Toa maoni yako
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad