Hii Hapa Orodha ya Watu 9 Waliofariki Katika Ajali na Kobe Bryant


Taarifa zinasema waliofariki mpaka sasa Kobe Bryant, mwanae Gianna Maria Onore, rafiki wa mwanaye Alyssa ambaye aliambatana na wazazi wake John Altobelli na Keri.

Wengine ni kocha wa Gianna na Alyssa kwenye kituo cha kufundisha mchezo wa mpira wa kikapu cha Kobe anayefahamika kama Christina Mauser. Abiria wengine ni Sarah na Payton Chester pamoja na rubani Ara Zobayan.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad