Katambi atoa siku mbili NIDA kuhamisha ofisi Nyerere Square


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi ametoa siku mbili za Jumanne na Jumatano kwa Taasisi zote ambazo zinashughulikia zoezi la usajili kwa njia ya vidole kuhakikisha wanatenga eneo la Nyerere Square kufanyia shughuli zao zote hapo ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wao.

Amesema kufanya hivyo kutasaidia kuepusha usumbufu kwa wananchi ambao wamekuwa wakipata shida ya kwenda NIDA kisha waende Uhamiaji ndipo waende kusajili line zao badala yake sasa taasisi zote hizo zitakua sehemu moja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad