KENYA: Watu Watatu Wafariki Baada ya Al-Shabaab Kuteka Basi



Kamishna wa Polisi wa Kaunti ya Lamu amesema Washambuliaji hao wamewaua watu hao na kuwajeruhi wengine watatu katika eneo la Nyongoro kwenye barabara ya Lamu-Garsen
-
Amethibitisha kuwa, Washambuliaji hao walifyatulia risasi basi hilo lililokuwa likitoka Lamu kuelekea Mombasa na kusema huenda idadi ya vifo ikaongezeka kutokana na majeruhi kuumia vibaya
-
Inaelezwa kuwa, Washambuliaji walitokea porini na kulitaka basi hilo la Kampuni ya Mombasa Raha kusimama lakini dereva huku akihisi wanaweza kuwa Wavamizi aliongeza mwendo na ndipo Washambuliaji walipofyatua risasi  
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad