Kijana Usijidanganye: Shoo peke yake Haitoshi Kukufanya Usiachwe



Mara nyingi nimeona watu wakichangia kwenye nyuzi mbalimbali kwamba ukitaka mwanamke asikuache, basi unatakiwa "usimamie kucha" na kupiga shoo za kibabe kama vile unalima shamba la mihogo. Kwamba mwanamke ukimgegeda vizuri, basi hawezi kukuacha atakua wako tuu siku zote nk.

Swala hili limesababisha baadhi ya vijana kufanya mambo ya ajabu ili kuongeza "stamina" kwenye tendo ikiwa ni pamoja na kutumia madawa, supu ya pweza, vumbi la kongo, mchanganyiko wa pombe kali na vitu vingine vingi.

Uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 20 kwenye gemu unaonyesha kuwa, mwanamke ni kiumbe asieridhika na anaekinai kirahisi sana. Japo ni kweli kwamba kumgegeda mwanamke vizuri kunaweza kumfanya akae na wewe kwa muda fulani, lakini baada ya muda hata kama unasimamia kucha kiasi gani mwanamke huyo atakuzoea na kuanza kukuona wa kawaida tu. Hapo ndipo mwanamke huyo ataanza kuangalia mambo mengine zaidi ya mgegedo na kama akigundua huna ishu atakupiga chini tu na kusaka maisha kwingine.

Badala ya kutegemea mgegedo ukuokoe, ni bora kijana ukajipanga kimaisha kwani kitu pekee ambacho wanawake wanaonekana kutokikinai ni hela.


TheChoji
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad