Kocha wa Yanga Boniface Mkwasa Atangazwa Kuwa Kocha BORA Mwezi Desemba



Kaimu Kocha wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ametangazwa kuwa kocha bora kwa mwezi uliopita.

Mkwasa ametwaa tuzo ya ukocha bora ikiwa ni muda mchache tangu achukue nafasi hiyo Yanga baada ya kuondoka kwa Mwinyi Zahera ambaye alikuwa anaiona timu hiyo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad