Maalim Seif Afunguka "2020 ni Mwaka wa Kuing'oa CCM Mazima"



Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema mwaka 2020 ni mwaka wa kuing'oa CCM madarakani na kuwataka wananchi kuweka pembeni tofauti zao ili kufanikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Akitoa salamu za mwaka mpya Maalim Seif amesema wanatarajia kujenga maisha ya raha na furaha kwa wananchi watakaposhika dola na kukuza uchumi wa nchi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad