Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu.

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,

• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Da kwel nmeisoma hyo!

    ReplyDelete
  2. Da ebwana inaukweli ndani yake au ndio sana tu

    ReplyDelete
  3. ina ukweli hii.

    ReplyDelete
  4. Nadhan ni sahihi je tusio na wapenzi tupige punyeto au?

    ReplyDelete
  5. Ina ukweli na pia yapo madhala mengine zaidi ya haya, kwakuwa sayansi ya mwili inataka unapotimiza umri wa kufanya tendo hilo fanya ila usifanye kwa fujo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh? ! Wema kafanya kwa fujooo matokeo yake kawa TASA.

      Delete
    2. Hahaha lakini kuwa na mama kama Wema si bora usije tu duniani??!!!. Katika kila kundi la wanaume kumi Wema kalala na 9 kati yao huyo wa kumi anasubiri tripu ijayo.

      Delete
    3. Wema hapa kaingiaje? mnajificha kwa watu lakini Mungu anawaona sana tu. Kwani nyie ni bikra au wivu tu umewajaa? Huyu Wema anatumia nyapu zenu mpaka kila siku mumseme? Kwa taarifa yenu kama mnadhani mnamkomoa basi mjue ndo mnamfagilia bila wenyewe kujua. Kwa taarifa yenu kila mtu atahukumiwa na Mungu kwa kile alichokifanya hapa duniani, nyie nani mpaka muhukumu Wema?

      Delete
  6. Ni kwel kabisa

    ReplyDelete
  7. dhu itabid ntafute mwali ntakufa

    ReplyDelete
  8. hii ni kweli kabisa hata mimi napia hicho kipindi mm ni nmama mtu mzima but sio mtu mzima sana nina miaka sijapata hiyo shughuli nikicheki yoote iliyoandikwa hapo ninazo hizo tabia

    ReplyDelete
    Replies
    1. duuuh! unakwama wapi wanaume wako wengi

      Delete
  9. ple sana dada hapo juu me nko tayari kukupa dawa

    ReplyDelete
  10. Hmna ukwel wowote kuhusu hlo. Umetudanganya bhana.

    ReplyDelete
  11. Ni kweli mm cjafanya Nina mwaka sasa na hizo dalili ninazo ingawaje c zote

    ReplyDelete
  12. Enter your comment...no kweli MUNGU kasema kila MTU awe na mwenzi hata ma padri wana mademu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad