Mama Wema Amkoromea Mwandishi "Mambo ya Kukonda Kwa Wema Msiniulize Mimi"

Mama Wema amkoromea mwandishi wa udaku baada ya kumuuliza kuhusu Sweetheart kujikondesha sana

"Sitaki kuzungumzia suala lolote linalomhusu Wema wala kitu chochote. Tayari ameshakua mtu mzima, ana maisha yake, mimi pia nina maisha yangu. Kwanza kwa nini mambo yake mniulize mimi? Sitaki kuongea chochote,” Mama Wema kwa sauti ya ukali alimjibu paparazzi wa GPL
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad