Mashabiki wa Malmo waendelea kuonyesha kuchukizwa na Zlatan baada ya kuisaliti timu iliyomlea, Sanamu lake lakatwa hadi kuanguka chini


Sanamu la mshambuliaji wa klabu ya AC Milan Zlatan Ibrahimovic lililopo nje ya uwanja wa klabu yake ya zamani iliyomlea Malmo lakatwa hadi kuanguka chini.



Sanamu hiyo, ambayo ipo nje ya uwanja wa klabu ya Malmo huko chini  Sweden, hapo awali lilikatwa pua baada ya Ibrahimovic kuwekeza katika kilabu ambayo no  wapinzani mnamo wa Malmo Desemba. Uharibifu huo uligunduliwa saa 3.30 asubuhi wakati wa Jumapili, na kulikuwa na maneno ya kejeli namatusi” Ujumbe uliyoandikwa karibu na sanamu.



Ibrahimovic, 38, alianza kufanya kazi yake ya kitaalam katiuka klabu ya Malmo miaka 20 iliyopita. katika sana mu hilo lililokutana na vionja vingi mara uya kwanza kabisa Uso wa sanamu hiyo ulifunikwa na shati iliyobeba beji ya Sweeden.



Baada  ya kutangazwa kuwa Ibrahimovic alinunua hisa 25% ya Hammarby. Polisi waliweka uzio kuzunguka sanamu hiyo, ambayo ilifunuliwa mwezi Oktoba 2019, pia Nyumba ya Ibrahimovic huko Stockholm pia iliharibiwa, kwa kuandikwa maneno mengi kama “Yuda” kwa kupakwa rangi kwenye mlango wa mbele. Msanii wa sanamu Peter Linde hapo awali alitoa wito kwa watu waache uharibifu huo.




Mchezaji huyo wa zamani wa Ajax, Juventus, Inter Milan, Barcelona, ​​Paris St-Germain, Manchester United na mchezaji wa LA Galaxy Ibrahimovic amesaini tena AC Milan. Anatarajiwa kuanza kuitumika ligi ya Serie A Jumatatu wakati watawakaribisha Sampdoria

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad