Mkwasa Awanyooshea MIKONO Simba "Lazima Tukubali Wenzetu Wako Vizuri"


Kocha wa Yanga, Boniface Mkwasa amesema kuwa alikuwa na wakati mgumu baada ya kufungwa mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya watani wao Simba.


Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa taifa ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2, Simba ilikuwa ya kwanza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti kabla ya kuongeza la pili dakika za mwanzo za kipindi cha pili, Yanga ilirudisha mabao yote kipin di cha pili kuptia kwa Mapinduzi Balama na goli la kujifunga la Mohamed Hussein.

Mkwasa amesema kuwa ulikuwa ni wakati mgumu kwao baada ya kufungwa mabao mawili lakini aliongeza morali kwa wachezaji na kupelekea kurudisha mabao yote.

"Lazima tukubali wenzetu wamekaa pamoja kwa muda mrefu na wanacheza kwa pamoja lakini na sisi pia ndio tunajaribu kukaa pamoja kutengeneza timu yetu. Kusema kweli nilikuwa na wakati mgumu sana baada ya kufungwa goli mbili nikaona inaweza kuwa shida", amesema Mkwasa.

"Ulikuwa ni mchezo mgumu na ni moja kati ya mchezo bora kati ya Simba na Yanga bila kuwa na ushabiki wala masuala ya Kiswahili swahili na nadhani wlaiokuja wote wamefurahi", ameongeza.

Kwa upande wa kocha wa Simba, Sven Vanderbroeck amesema kuwa walifungwa mabao mawili kipindi ambacho walikuwa pungufu ndani, wakitibu majeraha nje ya uwanja lakini baada ya muda walirudi katika hali ya kumiliki mpira.

Baada ya mchezo huo, sasa Simba inaongoza ligi kwa pointi 35, Yanga ikiwa nafasi ya nne kwa pointi 25.


Flight Price from Dar Es Salaam Might Surprise You
Flight Prices | Search Ads
|
Sponsored
7 Japanese Anti Aging Secrets You Need to Know About
Organic Welcome
|
Sponsored
This $89 Device Lets You Speak 43 Languages Instantly. The Idea? Genius
Muama Instant Translator
|
Sponsored
Hair Transplant Cost in Dubai May Surprise You
Hair Transplant | Search Ads
|
Sponsored
Dubai Real Estate Investment Properties May Surprise You
Property Investment | Search Ads
|
Sponsored
The 9 Best Foods for Hair Growth
Food Eat Safe
|
Sponsored
Finding a Job in Canada Might Be Easier Than You Think
Jobs in Canada | Search Ads
|
Sponsored
Polisi yaeleza undani jeneza lililokutwa sokoni | East Africa Television
EATV
'Mmenisaidia kumsitiri, Mama ni mmoja' - Kabendera | East Africa Television
EATV

TOP STORIES

CURRENT AFFAIRS
RC Mbeya awatimua Kidato cha 5 na 6 awataka kurudi

ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao

CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe

CURRENT AFFAIRS
CHADEMA yatoa maagizo matatu kuhusu Halima Mdee



MOST POPULAR

SPORT
Bongo Movie yampoteza staa mwingine

CURRENT AFFAIRS
'Mmenisaidia kumsitiri, Mama ni mmoja' - Kabendera

SPORT
Alazimishwa kunywa mikojo ya wanawake

SPORT
Haji Manara adai Simba wataingia kama 'Underdog'

LIFE & STYLE
WhatsApp kutofanya kazi katika simu hizi
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2020 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad