Msuva Mambo Safi Anunuliwa na Benfica ya Ureno...


Meneja wa Simon Msuva amethibitisha kuwa mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Benfica ya Ureno lakini anaenda kwa mkopo wa miezi 6 Panathaikos ya Ugiriki, Msuva ataungana na Benfica rasmi July 2020, kila la kheri @smsuva27

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad