Mtoto wa miaka 12 auawa, achunwa ngozi na kukatwa sehemu za siri


Mtoto Hassan Muba mwenye umri wa miaka 12 Mkazi wa Kibiti, Pwani anadaiwa kuuawa na kuchunwa ngozi usoni huku ikiripotiwa pia ameondolewa sehemu za siri.

"Alipotea January 07 akapatikana January 09 mwaka huu chini ya mwembe tulikuta nguo ziko pembeni, amechunwa ngozi usoni na ameondolewa sehemu za siri, amekatwa nyama makalioni na mapajani, shingo imevunjwa pia”- Mohammedi Pepe, Babu wa Mtoto

"Ni kweli taarifa tunazo lakini tumefanya uchunguzi na kubaini hakuondolewa sehemu za siri isipokuwa zilisinyaa" - RPC Rufiji, Onesmo Lyanga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad