Mwendelezo: Kifo cha Kobe Bryant...Binti yake Bia Amefariki Dunia



Taarifa mpya zinabainisha binti wa wa #KobeBryant, Gianna Maria Onore(13) ni mmoja kati ya waliopoteza maisha kwenye ajali ya Helikopta iliyotokea huko California, Marekani

Wawili hao na watu wengine 3 wamepoteza maisha ktk ajali hiyo

#RIPKobeBryant
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad