Nafikiria Kumpa Mamlaka Mke Wangu Awe Mtawala/Kichwa cha Familia Nione Nini Kitatokea


Serikali zote duniani kwasasa zinapigania 50/50 kuwafanya wanawake wawe pia viongozi katika sekta ya umma tafiti zinaonyesha wanawake sio wabadhirifu pia ukiwasaidia faida inaenda moja kwa moja kwa watoto.

Sisi wanaume tunahonga Malaya michepuko na ulevi.

Hivyo ninadhamiria kumpa mke wangu utawala wa nyumba yangu yeye ndio awe kichwa Cha familia hii itawasaidia watoto wangu kuneemeka.

Naomba ushauri wenu juu ya hili Kama ni sawa au si sawa.

Na je nitapata machungu gani au ndio Mambo yatakuwa mazuri Sana ?

When it comes to changes it begins with you!

By Superbug
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad