One Minute Woman...Nafikia Kileleni Haraka Sana KABLA Mpenzi Hajaridhika
8
January 03, 2020
Napata wakati mgumu sana tuwapo kwenye 6x6 kwani nawahi sana kufika Kileleni, Yaani within 1min tayari nakuwa nimefika na nikishafika nakosa hamu kabisa ya kuendelea na kumsukuma boyfriend wangu Pembeni
Hata mpenzi akiniandaa upya nashindwa na sijisikii raha yoyote hata akiendelea. Hamu huja tena mpaka nilale na kupitiwa usingizi nikiamka ndio naweza kunyegeka tena.
Hata ikitokea nikachelewa kufika haizidi dakika 5. Hali hii inaninyima raha sana sana kwani sipati raha ya kushiriki mapenzi kwa muda mrefu.
Mpenzi wangu anateseka sana mara nyingi humuacha akiwa hajafika hufikia hatua hulia.
Nahofu ipo siku atachoka na hii hali na kutafuta mtu mwingine kwa sababu amevumilia hii hali kwa miaka mingi, pia najihisi na kuona aibu napokuwa nae kwani tunaishi mbali mbali kukutana ni mara chache mfano kila baada ya miezi 3 lakini bado simridhishi.
Nakuwa na hamu sana sana ya kufanya mapenzi ila tukianza tu nafika.
NISAIDIENI..
Tags
una jini mahaba
ReplyDeletehuyofalawako hajuimapenzi tafutamwingine
ReplyDeleteKamuone dr na wewe mwenyewe umjiwekea itakuwa hivyo unajiharibu kisaikologia. Nenda kamuone dr atakusaidia
ReplyDeleteAmini usiamin,
ReplyDeleteutake usitake hyo ni jni mahaba!
Uanze wewe sass kumlidhisha akifika kileleni Tu zamu yake haitakuwa kazi kubwa. Pole Sana!
ReplyDeletemfadhaiko wa akili na mawazo muone daktari atakusaidia
ReplyDeleteHIO SI KAWAIDA KWA MWANAMKE;WANAWAKE HUA NDIO HAWARIDHIKI;HATA UNAWEZA DO NA WANAUME KUMI NA BADO HAMU HAIJAISHA
ReplyDeleteMm sioni shida maana lengo la kusex ni kufika kileleni ko target yako ndo hiyo & mshukuru Mungu ww unafika tena haraka wenzio wanatafuta hiyo fursa hawaipati
ReplyDelete